Friday, 15 August 2014

                     MICHEZO NI AFYA, BURUDANI,NA KUJENGA                                                     URAFIKI!

      Haya yamejidhihirisha baada ya timu ya veterani kukutana uso kwa uso na Timu ya waalimu, majirani zao wa karibu Shule ya sekondari  Nyampulukano Ambapo Veterani walishinda kwa mabao mawili kwa bao moja.Bao la kwanza lilipatikana ndani ya kipindi cha kwanza na bao la pili lilipatikana kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati Ambao baadae Ulileta Tafrani iliyopelekea mechi kuaharishwa.Mpaka kipenga cha Mwisho kinapulizwa na refarii mahiri kabisa kutoka shule ya sekondari Ntunduru.Vijana wa Timu ya Nyampulukano walikuwa hoi hivyo kulazimisha mechi Iahirishwe kusiko sababu za msingi. Hapa chini ni wale wale maveterani wakiwa katika muda wa mapumziko wakipokea hili na lile kutoka kwa kocha wao.



(picha)
 na             seja the planet.                                                

Wednesday, 6 August 2014

SHIRIKI MICHEZO JENGA URAFIKI!
wanafunzi Wa shule ya sekondari Ntunduru wameaswa kushiriki michezo ya aina mbalimbali ili kujijengea mahusiano mazuri kati ya wanafunzi kwa wanafunzi pia kuboresha afya zao pamoja na kuinua vipaji mbalimbali.

(Pichani) Ni Baadhi ya wanafunzi wakiwa michezoni baada ya saa za darasani.                                       
               TIMU YA WAALIMU NTUNDURU SEKONDARI YAZIDI KUNG'ARA       


     
Hawa wakiwa na ni baadhi ya waalmu walioshiriki mechi hiyo ya kukata na shoka katika uwanja wa shule ya sekondari ntunduru.
 Pichani( ni baadhi ya haao wanaojiita maveterani katika mechi iliyochezwa juzi kwenye uwanja was sekodari Ntunduru( kwa mchele).
welcome to our mostly educating blog, its the site where you can understand and philosophize complicated issues about the today's world.

Categories

Unordered List

Sample Text

Powered by Blogger.

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget

Video