SHIRIKI MICHEZO JENGA URAFIKI!
wanafunzi Wa shule ya sekondari Ntunduru wameaswa kushiriki michezo ya aina mbalimbali ili kujijengea mahusiano mazuri kati ya wanafunzi kwa wanafunzi pia kuboresha afya zao pamoja na kuinua vipaji mbalimbali.
(Pichani) Ni Baadhi ya wanafunzi wakiwa michezoni baada ya saa za darasani.


wanafunzi Wa shule ya sekondari Ntunduru wameaswa kushiriki michezo ya aina mbalimbali ili kujijengea mahusiano mazuri kati ya wanafunzi kwa wanafunzi pia kuboresha afya zao pamoja na kuinua vipaji mbalimbali.(Pichani) Ni Baadhi ya wanafunzi wakiwa michezoni baada ya saa za darasani.






