TIMU YA WAALIMU NTUNDURU SEKONDARI YAZIDI KUNG'ARA

Hawa wakiwa na ni baadhi ya waalmu walioshiriki mechi hiyo ya kukata na shoka katika uwanja wa shule ya sekondari ntunduru.
Pichani( ni baadhi ya haao wanaojiita maveterani katika mechi iliyochezwa juzi kwenye uwanja was sekodari Ntunduru( kwa mchele).
0 comments:
Post a Comment