VETARANI YALAZWA HOI UWANJA WA SHULE YA SEKONDARI NTUNDURU!
Timu inayojiita ni ya mavetarani ikiwa chini ya usimamizi wa kocha chalz pele kijana wa zamani imenyukwa goli moja kwa bila na timu ya vijana kidato cha sita.Licha ya goli hilo la halali mavetarani hao wamelalamika kuwa mechi hiyo ilishitukizwa mno kiasi kwamba hawakuwa na maandalizi ya kutosha kimichezo na hivyo wameitisha mechi upya ili kuthibitisha ubabe wao katika soka!
wakati huo huo mchezaji machachari aliyekuwa akiichezea timu ya vetarani ni majeruhi kwa sasa baada ya kupatwa na mshituko katika neva za macho hivyo kumpelekea kulazwa hospitalini na hadi sasa hali yake inaend
elea vizuri.
Pichani ni baadhi ya hao maveterani waliochakazwa kipigo cha mbwa na wanafunzi kidato cha sita.
0 comments:
Post a Comment