Friday, 15 August 2014

                     MICHEZO NI AFYA, BURUDANI,NA KUJENGA                                                     URAFIKI!

      Haya yamejidhihirisha baada ya timu ya veterani kukutana uso kwa uso na Timu ya waalimu, majirani zao wa karibu Shule ya sekondari  Nyampulukano Ambapo Veterani walishinda kwa mabao mawili kwa bao moja.Bao la kwanza lilipatikana ndani ya kipindi cha kwanza na bao la pili lilipatikana kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati Ambao baadae Ulileta Tafrani iliyopelekea mechi kuaharishwa.Mpaka kipenga cha Mwisho kinapulizwa na refarii mahiri kabisa kutoka shule ya sekondari Ntunduru.Vijana wa Timu ya Nyampulukano walikuwa hoi hivyo kulazimisha mechi Iahirishwe kusiko sababu za msingi. Hapa chini ni wale wale maveterani wakiwa katika muda wa mapumziko wakipokea hili na lile kutoka kwa kocha wao.



(picha)
 na             seja the planet.                                                

Categories

Unordered List

Sample Text

Powered by Blogger.

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget

Video