Wanafunzi wanne wa shuleni hapa wamekamatwa na mkuu wa shule mwl mchele wakiwa porini huku wakidaiwa kucheza kamali na kuvuta sigara kubwa ya ki-afrika.wanafunzi hao baada ya kukamatwa walikimbia na kumuachia mkuu wao wa shule mashati na viatu vyao. Tukio hili limetokea kipindi ambacho mkuu wa shule akishirikiana na waalimu wake kudhibiti nidhamu mbaya iliyokithiri shuleni hapa, aidha hali hii ni hatari kwa uongozi wa shule lakini pia kwa mkuu wa shule ambaye baadae anajiaandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu hapo mwakani. 



0 comments:
Post a Comment